Asante sana kutembelea blog hii kwa jili ya kupata taarifa za ujenzi wa bei nafuu kwa kutumia matofali ya Interlocking.
Karibu katika ofisi zetu, tunapatikana Mkolani Darajani njia panda kuelekea Central Buhongwa Secondary School. Upande wa kushoto ukiwa unatokea mjini kwenda Buhongwa utaona uzio mdogo uliojengwa kwa matofali ya Interlocking.
Kwa huduma na ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
+255 762 620 977
+255 684 066 175
+255 757 097 949
No comments:
Post a Comment