Faida katika kupunguza gharama
Ukitumia matofali
ya ISSB unaepuka gharama zifuatazo
1. gharama za Mchanga
2. Saruji na kisafirisha mpaka eneo la ujenzi
3. Kununua maji, kumwagilia
ukuta na mwagiliaji
4. Gharama za kupiga
ripu nje [Saruji, mchanga, mafundi].
Faida hizi zinakupa kila
sababu ya kuchagua kujenga na matofali ya ISSB kwa kupunguza gharama za ujenzi
mpaka 50%.
Faida Nyinginezo.
1. Hupunguza
haja ya usimamizi wa karibu kwa mwenye nyumba kwa hofu ya kuibiwa saruji wakati
wa ujenzi
2. Ujenzi
huenda haraka na muda mfupi
3. Kuta za
ISSB huwa za kupendeza na muonekano mzuri wa nyumba
4. Hali yake
ya ndani haiathiriwi na joto kali au baridi kali iliyopo nje ya nyumba.
5. Kuta za
nje hata ndani ukipenda hazihitaji kupigwa ripu.
6. Nyumba
huhimili tetemeko la ardhi
7. Obora wake hautaathiriwa na moto
endapo nyumba itaungua
8. Matofali yanaweza kutumika tena endapo kutakuwa na haja ya nyumba kubomolewa na
kujengwa sehemu nyingine.
Jenga na matofali ya Interlocking kwa gharama nafuu na Nyumba yako itaonekana nzuri sana tena ya kupendeza
No comments:
Post a Comment